Tanzania’s MICE Revolution

  Tanzania is swiftly emerging as one of Africa’s most exciting destinations for Meetings, Incentives, Conferences, and Exhibitions (MICE). It’s not just about hosting events, it’s about creating unforgettable experiences where business seamlessly blends with adventure. Whether it’s in the dynamic conference halls of Dar es Salaam or amidst the awesome landscapes of Zanzibar and […]

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati) akiteta jambo na Wajumbe wa Bodi ya AICC

Msajili wa Hazina Bw. Nehemia Mchechu (kati) akiteta jambo na Wajumbe wa Bodi ya AICC mara baada ya kuhitimisha Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika  tarehe 26 Agosti 2025 katika Makao Makuu ya AICC jijini Arusha. Treasury Registrar Mr. Nehemia Mchechu (centre) sharing a light moment with the AICC Board Members shortly after close of the […]

Mwenyekiti wa Bodi ya AICC Mhe. Balozi Dtk. Jilly Maleko (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utendaji wa bodi hiyo kwa Msajili wa Hazina.

Mwenyekiti wa Bodi ya AICC Mhe. Balozi Dtk. Jilly Maleko (kushoto) akiwasilisha taarifa ya utendaji wa bodi hiyo kwa Msajili wa Hazina wakati Mkutano Mkuu wa Mwaka uliofanyika tarehe 26 Agosti 2025 katika kituo hapo jijini Arusha. AICC Board Chairperson Hon. Amb. Dr.Jilly Maleko (left) presenting the board’s performance report to the Treasury Registrar during […]

AICC TANO (5) BORA MASHIRIKA YA UMMA

AICC tano bora ( 5 ), mashirika yenye ufanisi , matumizi na mapato na rejesho la mtaji. Katika kikao kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, Msajili wa Hazina Nehemia Mchechu ameipongeza AICC kwa kuwa miongoni mwa mashirika matano bora nchini kwa ufanisi, matumizi bora ya rasilimali na mapato yenye […]

Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation Visits the Arusha International Conference Centre (AICC)

Arusha, 14 August 2025 – The Deputy Minister for Foreign Affairs and East African Cooperation, Hon. Cosato Chumi, today conducted an official visit to the Arusha International Conference Centre (AICC), where he toured various conference facilities, the AICC Hospital, and the Kijenge area (Site E) where the new Mount Kilimanjaro International Conference Centre (MKICC) is […]

WAZIRI MKUU AMPONGEZA MKURUGENZI MKUU WA AICC

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kasim Majaliwa ampongeza Mtendaji Mkuu wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) Bi.Christine Mwakatobe kwa kutoa huduma bora za kumbi za mikutano nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri Mkuu wakati wa hafla ya ufunguzi wa Kikao Kazi cha tathmini ya utendaji kazi wa Mamlaka ya Mapato […]

AICC YASHIRIKI MAONESHO YA 49 YA KIMATAIFA YA BIASHARA DAR ES SALAAM (SABASABA 2025)

Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC) kimepata nafasi ya kushiriki kwenye maonesho ya 49 ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba 2025) yanayofanyika kwenye viwanja vya sabasaba, jijini Dar es Salaam na kuelezea huduma mbalimbali zinazotolewa na Kituo ikiwemo utalii wa mikutano, upangishaji wa nyumba na ofisi pamoja na huduma za hospitali. […]

Event Booking Request