Kutakua na mkutano wa dharula wa viongozi wa Baraza la Mawaziri wa SADC kwa njia ya mtandao(Video Conferencing) tarehe 23 Juni 2020 katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano JNICC Dar es Salaam Tanzania.